Picha:Rais Samia akizindua ndege za mafunzo ya awali ya marubani na mabasi kwa JWTZ

 



Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam.

 

Rais Samia amesema atahakikisha Jeshi linapata vifaa madhubuti vinavyoendana na hali na mabadiliko ya kiusalama duniani ili kuhakikisha Tanzania iko salama.






HIZI TAARIFA ZIMEANDALIWA NA KULETWA KWAKO NA SHIRIKA LA UANDISHI WA MAGAZETI YA MTANDAONI 


GOOGLE SWAHILI NEWS 

Post a Comment

0 Comments